Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kabudi akiwa porini kufundisha umuhimu wa katiba mpya kabla hajasaliti nchi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta uproffesor wako ambao hutatiliwa shakaYule prof aliyeokotwa jalalani ni mnafiki wa kiwango cha SGR .....anafanya tuanze kutilia shaka ma proffesors wa tanzania ,,wasomi wafanye jambo especially kwenye hili la katiba,unless otherwise basi huyu palamagamba asha under value the honour of proffesors
Ila aliyetuumba waafrika sijui hata alikosea wapi?!!yaani mawazo ya kishenzi shenzi tu, na hususani anapoona kuwa maslahi yake yako hatarini na sio maslahi ya wengi!!Hivi kweli hiyo katiba mpya hususani ile ya warioba ina shida gani kwa maslahi ya wengi?huyo mnyonge, haijarisha itapitishwa lini.Na hao walioko madarakani ndio wanaopiga kelele kuwa hakuna haja!!ila WATZ,Zama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeo
Muuaji wenu?Mbona hamkudai enzi za Mgalatia Jiwe? Mmeona Haki imeanza kurudi ndio mnakuja na Yale Mawaraka yenu ya Kigango Cha Mt. Kizito?
Zama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeo
zamaniWakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa.
Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya haikupatikana.
Hivi Sasa Bw.Kabudi ni Waziri na Bw.Polepole ni Mbunge. Cha kushangaza Watu hao Wamekuwa miongoni wa wapinga Katiba Mpya na kudai Katiba iliyopo ni imara.
Swali la Msingi:
Je, kipindi kile Walitaka Katiba Mpya kwa kuwa hawakuwa Mawaziri au Wabunge?
Je, Kipindi hiki Wanapinga Katiba Mpya kwa kuwa ni Waziri au Mbunge?
Zama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeo
Ndio ujue sasa hata wanaopiga kelele za katiba wanatafuta vyao maana itawawezesha kupatapo chochote.
Umemsikia common people akidai katiba? Hao ni wasaka tonge tuu kama wengine.