Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Sindano imegonga Mfupa hata Jamaa AnakuchekaTulia wewe! Unatuletea Mambo ya Parokiani?
Parokiani maana yake nini? Amekuletea uzi.Ni hiyari yako kuujadili na wala si jukumu lako kumnyamazisha.Tulia wewe! Unatuletea Mambo ya Parokiani?
😂😂😂😂😂😂Hiyo picha ni balaa!Sindano imegonga Mfupa hata Jamaa AnakuchekaView attachment 1843304
Zama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeoParokiani maana yake nini?Amekuletea uzi.Ni hiyari yako kuujadili na wala si jukumu lako kumnyamazisha.
Hazimtoshi huyo Aende Instagram au FaceBook humu JF ni kwa Wenye Akili kubwaParokiani maana yake nini?Amekuletea uzi.Ni hiyari yako kuujadili na wala si jukumu lako kumnyamazisha.
Acha ujuaji ambao huujui.Anayetaka katiba ana sababu zake na weye na mumeo ikumbatieni iliyopo.Zama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeo
Mbona hamkudai enzi za Mgalatia Jiwe? Mmeona Haki imeanza kurudi ndio mnakuja na Yale Mawaraka yenu ya Kigango Cha Mt. Kizito?Acha ujuaji ambao huujui.Anayetaka katiba ana sababu zake na weye na mumeo ikumbatieni iliyopo.
Umeona sehemu nimeandika nadai katiba mpya?Huyo jiwe ndiye nani?Mbona hamkudai enzi za Mgalatia Jiwe?
Jiwe limelala mbugani tayariUmeona sehemu nomeandika nadai katiba mpya?Huyo jiwe ndiye nani?
Liokote uwindie jorowe hapo mbugani.Jiwe limelala mbugani tayari
Yule prof aliyeokotwa jalalani ni mnafiki wa kiwango cha SGR .....anafanya tuanze kutilia shaka ma proffesors wa tanzania ,,wasomi wafanye jambo especially kwenye hili la katiba,unless otherwise basi huyu palamagamba asha under value the honour of proffesorsWakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa.
Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya haikupatikana.
Hivi Sasa Bw.Kabudi ni Waziri na Bw.Polepole ni Mbunge. Cha kushangaza Watu hao Wamekuwa miongoni wa wapinga Katiba Mpya na kudai Katiba iliyopo ni imara.
Swali la Msingi:
Je, kipindi kile Walitaka Katiba Mpya kwa kuwa hawakuwa Mawaziri au Wabunge?
Je, Kipindi hiki Wanapinga Katiba Mpya kwa kuwa ni Waziri au Mbunge?
Kwa kila aliye katika nafasi ya kushiriki keki ya taifa hili katika muktadha wa ulaji, hii katiba hawezi kukubali ibadilike!! Hata iwe wewe!! Kutesa kwa zamu. Hii ni pale ambapo raia namba moja atakapoamua kutoendelea na awamu yake nyingine ndipo atafagilia hili!!, vinginevyo SAHAUWakati wa Mchakato wa KATIBA MPYA mwaka 2011, Bwana Humphrey Polepole na Bw. Kabudi Walikuwa Miongoni ya Wajumbe wa ile Tume ya Warioba. Watu hawa Walikuwa Mstari wa mbele sana kuhakikisha mchakato ule unafanikiwa.
Kwa Bahati Mbaya mahafidhina wakauharibu ule Mchakato na Katiba Mpya haikupatikana.
Hivi Sasa Bw.Kabudi ni Waziri na Bw.Polepole ni Mbunge. Cha kushangaza Watu hao Wamekuwa miongoni wa wapinga Katiba Mpya na kudai Katiba iliyopo ni imara.
Swali la Msingi:
Je, kipindi kile Walitaka Katiba Mpya kwa kuwa hawakuwa Mawaziri au Wabunge?
Je, Kipindi hiki Wanapinga Katiba Mpya kwa kuwa ni Waziri au Mbunge?
Rudi Facebook ndio uwezo wa Akili zako huku Waache wenye Akili kubwaZama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeo