Waliokuwa mstari wa mbele kudai Katiba Mpya baada ya kupata vyeo leo wanaipinga

Kabudi akiwa porini kufundisha umuhimu wa katiba mpya kabla hajasaliti nchi.
 
Tafuta uproffesor wako ambao hutatiliwa shaka

Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
 
Zama mpya hizi. Kama una hamu na Katiba Tunga yako na mumeo
Ila aliyetuumba waafrika sijui hata alikosea wapi?!!yaani mawazo ya kishenzi shenzi tu, na hususani anapoona kuwa maslahi yake yako hatarini na sio maslahi ya wengi!!Hivi kweli hiyo katiba mpya hususani ile ya warioba ina shida gani kwa maslahi ya wengi?huyo mnyonge, haijarisha itapitishwa lini.Na hao walioko madarakani ndio wanaopiga kelele kuwa hakuna haja!!ila WATZ,
 
zamani

Your browser is not able to display this video.


Baada ya kulewa vyeo .

Unaijua VIEITE WEWE ?
 
Ndio ujue sasa hata wanaopiga kelele za katiba wanatafuta vyao maana itawawezesha kupatapo chochote.

Umemsikia common people akidai katiba? Hao ni wasaka tonge tuu kama wengine.

Naweza kukubaliana na wewe, sijawahi sikia wananchi wa kawaida popote walipo wakidai katiba mpya. Wananchi wanadai barabara, shule, maji, umeme, kituo cha afya n.k. Katiba siyo kipao mbele cha walio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…