Waliokuwa wanatukana watu kwa mgongo wa uzalendo bado wapo?

Waliokuwa wanatukana watu kwa mgongo wa uzalendo bado wapo?

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,810
Kwa kweli hii nchi ilikuwa imefikia pabaya kwa baadhi ya makundi kutoa lugha za kashfa,dharau ,ubabe ,matusi kisa kumlinda au kumtetea mwendazake na maovu yake

Kuna mtu anatokea kanda ya ziwa alikuwa na magazeti ya kuwatukana watanzania siku hizi sijui kama hayo magazeti yapo

Kila wiki yupo live TV za YouTube kuporomosha matusi, kashfa dhihaka kwa viongozi wa wastaafu wa Taifa hili kwa kigezo cha uzalendo

Na cha kushangaza vyombo vya dola vilikuwa kimya kumkataza kwa mambo anayoyafanya

Tangu mwendazake atoke simuoni live YouTube wala magazeti hayazagai tena mtaani

Tunataka katiba mpya ambayo itaweka wazi utawala bora wenye taasisi imara na si za kutegemea kikundi cha watu
 
Back
Top Bottom