Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

Waliokuwa wanaua watu mtaani ni Wanajeshi wa Uganda au Janjaweed wa Zanzibar ?

Mtanke

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
821
Reaction score
2,099
Miaka ya nyuma kwenye Uchaguzi kule Zanzibar kulikuwa na kikundi kinaitwa Janjaweed ambacho kilikuwa kinafanya haya haya yaliyofanyika Dar kwenye maandamano.

Nafikiri waliamua kutumia style za Zanzibar kushughulika na waandamanaji. Walichosahau ni kuwa population ya Zanzibar ni ndogo kuliko Bara. So to say constant factor kwenye hesabu yao ilipaswa kuwa population wakasahau Hilo kwa ujinga wao.

Zanzibar waandamanaji kwenye mkoa mzima hawazidi mia Tano. Ukiua ua kiholela watu 50 umemaliza ila kwa Dar yenye watu mil 7+ mara saba ya nchi nzima ya Zanzibar badala ya mia 5 au elfu wataandamana laki hivyo ukiamua kutumia formula Ile ile utaua maelfu na mji mdogo hivyo ule wingi wa maiti day one ndio uliolishtua jeshi na kuingia mtaani kusaka wauaji.

Maoni yangu ni kuwa hii hoja ya Wanajeshi wa Uganda ni kuwalinda Janjaweed toka Zanzibar ambao ndio waliofanya uhalifu huu chini ya taskforce ya Bwana ZC nini sijui na mkuu wake wa mkoa.

Aidha hizi pia ilikuwa ndio siasa za Iringa wakati wa uchaguzi mdogo wa Kalenga wakati Mkuu wa mkoa wa Dar akiwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa.

Nafikiri tumeuana wenyewe kwa wenyewe ni Civil war tusihamishe goli
 
Acheni uwongo, huwezi leta jeshi la nje nchini ilhali jeshi lipo,kama janjaweed wa zenji wamefanya hiyo shughuli basi vizuri, maana ndugu zao huko nyuma yaliwakuta sana hayo,wamelipiza
 
Back
Top Bottom