Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Njaa mbaya sana kosa yootee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo mchafu sana
Endeleen kuuana sisi tunapiga maendeleoo