Mgao wa Abdul umewapitiaNjaa mbaya sana kosa totee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yako yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo mchafu sana
Waliosimama leo na Mbowe ni wale ambao alisimama nao wakati wanapita katika wakati mgumu. Mbowe amefungwa nao, amehangaika nao kutafuta pesa za kuendesha chama wakati hawana ruzuku. Wanamjua vizuri Mbowe kuliko wewe na mimi. Nitajie viongozi wa Chadema watatu ambao walifungwa pamoja na Lissu. Lissu alikosea sana kumshambulia Mbowe.Njaa mbaya sana kosa totee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yako yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo mchafu sana
Masikini Meddy πΌWaliosimama leo na Mbowe ni wale ambao alisimama nao wakati wanapita katika wakati mgumu. Mbowe amefungwa nao, amehangaika nao kutafuta pesa za kuendesha chama wakati hawana ruzuku. Wanamjua vizuri Mbowe kuliko wewe na mimi. Nitajie viongozi wa Chadema watatu ambao walifungwa pamoja na Lissu. Lissu alikosea sana kumshambulia Mbowe.
Amandla...
Mgao wa maria umeyeyuka?Mgao wa Abdul umewapitia
Jamaa wamesimika miziziNjaa mbaya sana kosa yootee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo mchafu sana
Endeleen kuuana sisi tunapiga maendeleoo
Mkuu, ninaomba unisamehe sana "in advance"Waliosimama leo na Mbowe ni wale ambao alisimama nao wakati wanapita katika wakati mgumu. Mbowe amefungwa nao, amehangaika nao kutafuta pesa za kuendesha chama wakati hawana ruzuku. Wanamjua vizuri Mbowe kuliko wewe na mimi. Nitajie viongozi wa Chadema watatu ambao walifungwa pamoja na Lissu. Lissu alikosea sana kumshambulia Mbowe.
Amandla...
hahahaha mkuu kwa maneno haya hata iyo akili ya kuvukia barabara hunaHata ukiwa na akili ya kuvukia barabara tu huwezi kufurahia TAL kuwa Mwenyekiti wa CDM Taifa, anavyotukana serikali na Saa100.
Msamaha wa nini kwa kuuliza swali? Sidhani kama Chadema wana vitega uchumi vya maana. Sehemu kubwa ya vitega uchumi vya CCM ilivipata wakati wa chama kimoja.Mkuu, ninaomba unisamehe sana "in advance"
Mkuu, kwani CHADEMA hawana vitega uchumi??..
Wenye pesa mlojazana Kwa Lisu na manango yenu πππNjaa mbaya sana kosa yootee sio njaa
KUNA wah walienda kwa mwenyekiti WA chadema wakitaka agombee tenaa.
Wale jamaa ukiangalia kuanzia sura zaoo na maneno yao. utaona Hawa jamaa waganga njaa
Walishtuka wakahisi mbowe akiondoka maisha yao na maslahi yaoo yatakuwa hatarinii
Siasa mchezo mchafu sana
Endeleen kuuana sisi tunapiga maendeleoo
Daaaah ila CCM bhana. Kila siku ninawaambia, hauwezi kuwa nchi ya kijamaa katika ulimwengu unaoongozwa na ubepari (Miltipartism) kama hauna uchumi imara na silaha za nyuklia.Msamaha wa nini kwa kuuliza swali? Sidhani kama Chadema wana vitega uchumi vya maana. Sehemu kubwa ya vitega uchumi vya CCM ilivipata wakati wa chama kimoja.
Amandla...