Waliolewa tuu...in vinyo veritasi...kwenye pombe kuna ukweli

Waliolewa tuu...in vinyo veritasi...kwenye pombe kuna ukweli

germve

Senior Member
Joined
Jul 22, 2017
Posts
126
Reaction score
131
Karibuni mi nimelewa...nasema watu tumpende Mungu

germve himself
 
Mara zote mlevi anasema ukweli...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Basi bosi wangu mmoja mwenye imani yako ndo ilikuwa tabia yake. Anakulevya halafu anaanza kukuhoji kuhusu wafanyakazi wenzako!
 
Back
Top Bottom