Waliolipwa kumchafua TB Joshua BBC wafichuliwa

Waliolipwa kumchafua TB Joshua BBC wafichuliwa

Binafsi mimi ni mkristo ambaye ninaamini katika Mungu na Yesu Kristo.

Sijajenga imani yangu kwa binadamu awaye yeyote, hivyo ninauhakika hata kama kiongozi wangu wa kiimani akifanya mambo ya hovyo bado hainiyumbishi kwa chochote maana sijajenga tumaini na msingi juu ya mwanadamu.

Ndani ya ukristo wapo watumishi wa kweli na wengine wa mchongo, sasa ikitokea umejenga tumaini kwa kiongozi wako halafu akawa wa mchongo, watu wakikusitua utawaona hamnazo kumbe wasemalo ni kweli.

Tukija kwa TB Joshua, huenda na yeye akawa na mambo ya giza au laa, maana ukweli wa mtu anaujua mwenyewe na Mungu wake.
Mapumbavu hayawezi kukuelewa. Yale yaliyokuwa yanamwabudu Joshua. Hayajui kuwa nje mtu anaweza akaonekana kondoo lakini ndani ni mbwa mwitu mkali.
 
Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo amemchafua Baba mkuwa wa imani ya Kinabii Prophet TB Joshua ili ukristo udharauliwe na kutukanwa ikiwa wale wote waliotestify wamelipwa.

Mmoja wa wanawake Sihle Sibisi ambaye aliwahi kumpaka kashfa Pastor Chris Oyakhilome ni mmoja wa waliopata tenda iyo ya kuigiza BBC na pia akiwepo yule mwenye jicho upande ambaye alitakaga kulazimisha kuolewa na TB Joshua.

Link ya Youtube ya Maongezi ya uto dada ya Jay Isarael SNR iyo hapa…
View: https://youtu.be/FYpSo94kdCU?si=FD-mSU-BVC7RwzhyView attachment 2869332

Mnafanana n huyo shetani wabakaji wakubwa nyinyi, Hakuna mtu anaweza kupangua hoja za BBC kisomi, wahusika wote walikuwa core pillars wa TB (Mbakaji).
 
Wakati huu ambapo Shetani anajaribu kuingiza Agenda yake ya technologia ya kuingiziwa chip watu kwebye mapaji ya uso na mikononi (666) ili kufanya manunuzi kwanza anataka auchafue ukristo ambapo amemchafua Baba mkuwa wa imani ya Kinabii Prophet TB Joshua ili ukristo udharauliwe na kutukanwa ikiwa wale wote waliotestify wamelipwa.

Mmoja wa wanawake Sihle Sibisi ambaye aliwahi kumpaka kashfa Pastor Chris Oyakhilome ni mmoja wa waliopata tenda iyo ya kuigiza BBC na pia akiwepo yule mwenye jicho upande ambaye alitakaga kulazimisha kuolewa na TB Joshua.

Link ya Youtube ya Maongezi ya uto dada ya Jay Isarael SNR iyo hapa…
View: https://youtu.be/FYpSo94kdCU?si=FD-mSU-BVC7RwzhyView attachment 2869332

TB nae binadamu usimpe haki sana...wewe sio YEHOVA.
 
Mnaibiwa sadaka na hawa manabii na mitume feki.

Mnawapa cover kutajirika kwa kufanya biashara haramu na uhalifu kwa kivuli cha dini.

Wanafanya human trafficking, arms deals, drug deals na uhovyo hovyo mwingi kwa kivuli cha kanisa.

Huyo Joshua na masalia yake kina Mwamposa, Gwajima na matapeli wengine ni waabudu shetani, mashirikina, majizi na majambazi, shtuka mtanzania
Upo sahihi, tb Joshua ni tapeli na mwizi, mwamposa ni tapeli pia, wamama wamejihangaisha kwa kuuza vitumbua,chapati yeye anawaibia hawa na kujenga kwao, hotel ile ni ya kiwizi
 
Upo sahihi, tb Joshua ni tapeli na mwizi, mwamposa ni tapeli pia, wamama wamejihangaisha kwa kuuza vitumbua,chapati yeye anawaibia hawa na kujenga kwao, hotel ile ni ya kiwizi
Sasa wamama ukitaka kugombana nao mguse jizi Mwamposa au Gwajiboy
 
Sasa wamama ukitaka kugombana nao mguse jizi Mwamposa au Gwajiboy
It's so sad mkuu,matapeli haya yanatumia ufinyu wa uelewa wa poor of the poorest kwa manufaa yao, tapeli mwaposa haishi tandale au mpitimbi au unango!!,yeye anaishi kwenye helalu la mabilioni,ila kondoo zake wapo kwenye vi shacks
 
Post ilo hekalu lale hapa
 
yaani waafrica tunachekesha, unapata wapi ujasiri wa kubishana na shirika la habari lililoanzishwa 1922 yaani hata mkichanganya ukoo wenu wote bado mnaonekana wote mmeikuta BBC, BBC ni shirika kubwa sana kuliko wengi wanavyodhani hawakurupuki ni vile mmehemka kwasababu ameguswa mtu mnayempenda.
 
Inawezekana unahoja lkn hujui chochote kuhusiana na maana ya cha triple 6. Umeingizwa kwenye mfumo wa chip za kielectronic na wewe ukajaa mzima mzima. Mkuu 666 is not about electronic chip, it's about the social system that will be imposed to control the mindset of human beings not necessarily to be implanted with the said chip
 
Back
Top Bottom