mkaa mweusi
Member
- Jan 14, 2011
- 69
- 26
Wakuu naomba kuuliza swali kwa waliolipwa Madai Yao NSSF.
Je, ukilipwa dai lako kuna update yoyote katika User-Portal yako ya NSSF ukilogin? Hasa upande wa Claims Details maana hapa kila nikiangalia ya kwangu sioni mabadiliko yapata mwezi na week moja.
Ningependa kujua muda halisi madai huchukua Mpaka kulipwa na change yoyote katika user-portal kwa waliolipwa.