Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

Waliomaliza Diploma 2013 kukosa Mkopo: NACTE wawalaumu HESLB?

Nampunju

Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
8
Reaction score
1
Salaam jamani.. Hizi habari niloskia ni za kweli au la ya kwamba NACTE wamewamaindi HESLB kwa kutowapa mkopo waliomaliza diploma mwaka 2013???
 
Source ni wap? Ina maana diploma wote hawajapata mkopo mimi pia ni diploma na wameniandikia kuwa I did not secure loan mh sasa cjui itakuaje mie namuachia Mungu
 
dah hata mm ni diploma aisee nimepata DIT mechanical engineering lakn nimeandikia did not secured loan , dah hii kwel n hatar sana. mm nimemaliza 2012.
 
umesikia wap aisee mdau?? maana hata mm ni diploma lakn nimeandikiwa i did not secured loan
 
niliomba pitia NACTE nikachaguliwa Bsc Agronomy SUA ila nimekosa loan, why Diploma holderS?
 
mimi pia nimepata mkopo tena niliomba na cheti cha diploma nilimaliza form 4 mwaka 1998 na diploma mwaka 2005, nimepata chuo muhas bpharm. jambo la msingi ni kufatilia bodi ya mikopo kwa waliokosa na ninaimani kwa uwezo wake mungu mtafanikiwa. nawatakia kila la kheri na mungu awatangulie mfanikiwe
 
Nikwel mi naona nikama bahat tu kupata mkopo kwani ukifikiria sana unashindwa hata kuelewa kuwa walikuwa wanatumia vigezo gani kumpa mtu loan au kumnyima!
 
Back
Top Bottom