Mjomba Fujo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 2,438
- 6,313
Habari wanajamvi wote, Kuna kitu kidogo kinanitatiza, ni kuhusu diploma holders waliomaliza mwaka huu (2014) na utaratibu wa TCU/CAS kwa wale ambao tunahitaji kuendelea na masomo.
Sasa tatizo lenyewe ni kushindwa kufanya application kwenye huu mfumo wa CAS, kuna sehemu inafika unachagua chuo/college uliyosoma na mwaka uliomaliza hapa ndipo nimekwama sababu kwa miezi takribani miwili hamna updates zozote miaka iliyopo ni 2013 kwa hiyo sisi tuliomaliza 2014 hatuwezi fanya chochote kwasababu system haitutambui.
Nikajaribu kudadisi na vyuo vingine lakini tatizo ni lilelile nimejaribu kuangalia vyuo kama CBE, DIT, Stjoseph, NIT navyo mwisho ni 2013, IFM ndiyo niliona wahitimu wake wa 2014 wamejumuishwa kwenye system. sasa sijafahamu utaratibu unaendaje maana muda nao unayoyoma, mwenye kujua zaidi anieleweshe.