QUONSIOUS BOY
Member
- May 18, 2014
- 33
- 1
Wana Jf wenzangu mliohitimu kidato cha nne 2013,nimepata tetesi ya kua tarehe 26 mwezi mei ndio selection zilitakiwa ziwe aut but naibu wazir alikhairisha hadi hapo itakapo fika tarehe 10 june,kwa habari zaid tembelea tovuti ya WWW.GOOGLE.COM
mkuu hiyo google utajuaje kuhusu kuahirisha kwa Naibu Wazir!
Fafanua hapo kidogo.
ameshindwa kutofautisha kati ya "link" na "searching engine"
-then hamjani miss whatsapp?
dah kijana jitahdi bacOya Whatsapp ntakuja munipe muda kidogo !
Ishu zangu flani haziko sawa !
Cc. kaparo aloizay , Battery low
dah kijana jitahdi bac
Wana Jf wenzangu mliohitimu kidato cha nne 2013,nimepata tetesi ya kua tarehe 26 mwezi mei ndio selection zilitakiwa ziwe aut but naibu wazir alikhairisha hadi hapo itakapo fika tarehe 10 june,kwa habari zaid tembelea tovuti ya WWW.GOOGLE.COM
Aaah, hata hawaeleweki wacha 2endelee kuxubir 2taona watatupeleka wap?,
mkuu hiyo google utajuaje kuhusu kuahirisha kwa Naibu Wazir!
Fafanua hapo kidogo.
sasa hiyo
google.com ni website au ni searching engine... Hivi huwa mnazingatia
TEHAMA mlizosoma std 7
Aaah, hata hawaeleweki wacha 2endelee kuxubir 2taona watatupeleka wap?,
hakuna ujanja ila usisahau kwenda na pilipili advance!!!!!
hawa watoto wazembe sasa ulimwengu wa digital kama wanavyouita wenyewe halafu mtu anashindwa hata kuweka link mahususi anakupa searching engine? kwani kutumia fb kawafundisha nani?Tehama yenyewe ya computer ya kuchora ubaoni
kijana jifuze kwanza kuandika hapa siyo Facebook !!!!!! endelea kusubiri selection zitatoka usiwe na akili kama kuku Wa kienyeji