QUONSIOUS BOY
Member
- May 18, 2014
- 33
- 1
Wana Jf wenzangu mliohitimu kidato cha nne 2013,nimepata tetesi ya kua tarehe 26 mwezi mei ndio selection zilitakiwa ziwe aut but naibu wazir alikhairisha hadi hapo itakapo fika tarehe 10 june,kwa habari zaid tembelea tovuti ya WWW.GOOGLE.COM