Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

EUNICE 2

Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
21
Reaction score
4
2013.jpg


Jamani hapa tulipofikia si kazi ndogo !

Tumshukuru mungu kwa kutuwezesha kufika mpaka leo hii !

Tukijuliana hali sio mbaya !

Wasalaam !
 
EUNICE 2 napenda biomedical !

Nimefaulu vizuri ! Namshukuru mungu !
 
Last edited by a moderator:
jaman wa2 wa biomedical tupotupo kumbe humu,mm nawajua snipa,mimi na wewe Eunice 2 vp wapo wngne zaid
 
SAsa mbona nawauliza hamnip majibu? nasema hv hiyo biomedical wanafundisha vyuo gan? na vp kuhusu vigezo vyao ktk fan hii huku chuon?
 
SAsa mbona nawauliza hamnip majibu? nasema hv hiyo biomedical wanafundisha vyuo gan? na vp kuhusu vigezo vyao ktk fan hii huku chuon?


Acha ku panic mkuu ! Nani atakuwa online muda wote !
Btw !

Biomedical equipments inapatikana DIT pekeee !

!
 
We dogo juzi tumetukanana hapa kumbe ni kkb, jf ina mambo!

Hakuna anae mjibu mwenzake kulingana na umri ! Mwili, kazi or whatever !

Utajibiwa kulingana na unachokiwaza kichwani mwako !
Na unachokiongea !

Respect is already dead ! You'll be judged by what you say and think ! But not how you look like !

snipa wa JF
 
Last edited by a moderator:
yap tele+electronics.


Anhaaa poa ! Afu kuna jamaa wa PCB jina la mwanzoni kama lako !

Na yeye kamaliza mwaka jana ! Pacha wake Abbas wa kwenye group ile ya whatsapp !

Ntakucheki whatsapp ! Badae !
 
Back
Top Bottom