jaman wa2 wa biomedical tupotupo kumbe humu,mm nawajua snipa,mimi na wewe Eunice 2 vp wapo wngne zaid
Kaka Electronics au electrical ?
!
SAsa mbona nawauliza hamnip majibu? nasema hv hiyo biomedical wanafundisha vyuo gan? na vp kuhusu vigezo vyao ktk fan hii huku chuon?
Electronics kijana we nisome electrical!sina intrest na shorts
We dogo juzi tumetukanana hapa kumbe ni kkb, jf ina mambo!
Uta mix na Telecommunication ? Au
Hiyo biomedical wanafundisha chuo gani? na vp kuhusu vigezo wanavyotaka
yap tele+electronics.