Waliomaliza Form Four 2013 Njooni Hapa Tusalimiane !

ngugu hebu nishaurini.matokeo yangu ni kama ifuatavyo
math-D
phy-D
chem-D
bios-C
kisw-B
engl-C
civ-C
geo-C
hist-D
arabic-B
katika sel 4m first choice nilijaza college.je naweza kuchukuliwa?
na vp kuhusu post bado hazijatoka?au..
 
ngugu hebu nishaurini.matokeo yangu ni kama ifuatavyo
math-D
phy-D
chem-D
bios-C
kisw-B
engl-C
civ-C
geo-C
hist-D
arabic-B
katika sel 4m first choice nilijaza college.je naweza kuchukuliwa?
na vp kuhusu post bado hazijatoka?au..


Collage hawawezi kukuchukua kaka ! Hata Advance pia !

Mana collage wanataka kwenye PCM uwe na C kwenda juu !

Na pia Advance naona Combination hazija balance kabisa ! Na umefaulu Civics pamoja na Arabic ambayo hayapo kwenye Combination yeyote !

Ila May be private unaweza kwenda !

My Take !
 
Snipa mbna tech colleges wanachukua mwisho daraja "d" au hemu angalia admission regulations za DIT hlfu urudi
 
Kwa dit minimum qualifications ni uwe na d ya eng,math na d moja ya phy au chem
 
Kama unazungumzia pre entry phy D,math D na D either ya engl or chem
 
kasim kangu kanashindwa kureply kwa ku-kot,jamani biomedical ipo ktk vyuo 2!kuna electrical and biomedical Eng.iko paleATC.alaf kuna biomedical equipment Eng.iko hapo DIT.chaguo ni lako!ktk kingereza hakuna neno equipments kama alvoandika mchangiaji m1 hapo juu! ni equipment.2ko pa1.
 
said januzaj kama unataka engineering itabd uingie pre-entry(DIT) hii ni kozi ya 3months inaanza mwezi wa 7 mpaka wa 10 utakapofaulu pepa la mwisho utajiunga na wenzio wanaoingia mwez wa 10(direct entry)ada ya kozi ni 190,000/=(male)145,000/=(female)hakuna form ni online!uktaka afya chukua fom za wizara ya afya na utaanza certificate!au unaweza enda chuo cha maji ubungo (WDMI)wahi kabla muda haujaisha!
 
ngugu hebu nishaurini.matokeo yangu ni kama ifuatavyo
math-D
phy-D
chem-D
bios-C
kisw-B
engl-C
civ-C
geo-C
hist-D
arabic-B
katika sel 4m first choice nilijaza college.je naweza kuchukuliwa?
na vp kuhusu post bado hazijatoka?au..

Arabic ulisoma wapi? Aiseee hii nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…