Waliomaliza form iv mwaka 2007 kushuka v/s waliomaliza form four 2008-2013.

Rudi kwenye analysis yako seems huna data na kinachokusumbua ni ushabiki. Nakusaidia, mimi nimemaliza mwaka 2009 na sisi tulifanya mtihani wa kidato cha pili na alifeli mmoja wengine tukasonga mbele. Tujitahidi kuwa na data ili kufikisha ujumbe ulio sahihi mkuu. NI HAYO TU.
 
Hazungumzii shule mojamoja
 
Jifunze kanuni ya genetalization. Hazungumzii shule yako tu. We deal with nation wise
 
Jifunze kanuni ya genetalization. Hazungumzii shule yako tu. We deal with nation wise

he is right bhana form 4 wa 2009 walifanya mwtihani wao wa form 2 mwaka 2007 tena ulifanyika kitaifa
2010-2013 hawa walifanya ile mitihani kama mazoea na si mchujo,mchujo umeanza tena kwa watakaomaliza 2014
*Mimi ni mwalim wao*
 
Jifunze kanuni ya genetalization. Hazungumzii shule yako tu. We deal with nation wise

he is right bhana form 4 wa 2009 walifanya mtihani wao wa form 2 mwaka 2007 tena ulifanyika kitaifa
2010-2013 hawa walifanya ile mitihani kama mazoea na si mchujo,mchujo umeanza tena kwa watakaomaliza 2014
*Mimi ni mwalim wao*
 
Nina wasiwasi miaka ijayo,wanapotoa matangazo ya ajira,watakuwa wanamalizia kuwa'WANAFUNZI WOTE WALIOMALZA FORM IV WATUME BARUA ZA MAOMBI ISIPOKUWA WALIOMALZA MIAKA YA 2008-2015!.
 
elimu ya sasa ni sandakalawe....!

ukitaka mwanao asome, jipange kumpeleka angalau private schools
 
Nina wasiwasi miaka ijayo,wanapotoa matangazo ya ajira,watakuwa wanamalizia kuwa'WANAFUNZI WOTE WALIOMALZA FORM IV WATUME BARUA ZA MAOMBI ISIPOKUWA WALIOMALZA MIAKA YA 2008-2015!.

haha.. mkuu, utasababisha madogo wahame nchi
 
Kwani big results now maana yake halisi si ilianza kimatendo zamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…