N nyakahanga JF-Expert Member Joined Mar 7, 2013 Posts 240 Reaction score 65 Aug 1, 2014 #1 Salaam wadau, Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu ananiuliza kila siku kuwa kuna uwezekano wizara ya elimu ikafungua upya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma kwa mwaka huu? mwenye taarifa tafadhali aweke hapa
Salaam wadau, Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu ananiuliza kila siku kuwa kuna uwezekano wizara ya elimu ikafungua upya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma kwa mwaka huu? mwenye taarifa tafadhali aweke hapa