Waliomaliza form six mwaka huu watajiunga na diploma ya ualimu mwaka huu?

Waliomaliza form six mwaka huu watajiunga na diploma ya ualimu mwaka huu?

nyakahanga

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
240
Reaction score
65
Salaam wadau,
Kuna mdogo wangu kamaliza form six mwaka huu ananiuliza kila siku kuwa kuna uwezekano wizara ya elimu ikafungua upya maombi ya kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya diploma kwa mwaka huu?
mwenye taarifa tafadhali aweke hapa
 
Back
Top Bottom