Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Kamati ingekua na laana leo Tanzania ingefungwa. Sijui labda unaongelea LAANA ipi

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Endelea kuamiminishwa upuuzi huo na wapuuzi
 
Ushindi wa Taifa kwa hisani ya watu wa Uganda.Hakuna cha kujivunia hapo.
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa juhudi hizi za rais na rc hakika taifa stars na simba zinabeba kombe mwaka magu hoyeeeeee!
 
Namkumbuka Shaffi Dauda na story zake za underdog..nafasi nane zilizoongezwa ndio zimetubeba otherwise "always next time"
 
Kwahiyo Makonda ndio kaifanya timu ishinde?

Na juzi Simba na Vita makonda ndie aliisaidia Simba ishinde?

Makonda kafanya kipande kidogo kama alivyofanya mtu mwingine yeyote kufanya sala kuombea timu ishinde.

Usimpe sifa asizostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bia za nusu bei ziko wapi kwanza au ndo mlitujaza ujinga??

Hiri rimjamaa siririsema ati ritafunga mitaa yote Dar iri watu wanywe BIA kwa NUSU BEI huku vrikijitapa kuwa ati 'harijawaji KUPANGA JAMBO RIKASHINDWA......''Hizi ni lugha za mijitu iliyo lewa madaraka na kibri cha uzima.......mtu yeyote mstaarabu HUMTANGULIZAMUNGU na si vinginevo.
 
....
... Popoma katika ubora
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…