Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Kamati ingekua na laana leo Tanzania ingefungwa. Sijui labda unaongelea LAANA ipi

The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Endelea kuamiminishwa upuuzi huo na wapuuzi
 
Ushindi wa Taifa kwa hisani ya watu wa Uganda.Hakuna cha kujivunia hapo.
 
Mkiwa na kiongozi mkuu ambaye hataki siasa anataka kazi tu ,mambo yote hubadilika kutoka juu mpaka chini ,tofauti na tulivyokuwa tunaaminishwa na baadhi ya wasomi kwamba rais hata akiwa mwizi ,mvivu mzururaji mambo yataenda tu kisa eti urais ni taasisi?

Asante Taifa stars, Simba na bondia Mwakinyo

Asante kasi ya Rais Magufuli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa juhudi hizi za rais na rc hakika taifa stars na simba zinabeba kombe mwaka magu hoyeeeeee!
 
Namkumbuka Shaffi Dauda na story zake za underdog..nafasi nane zilizoongezwa ndio zimetubeba otherwise "always next time"
 
Kwahiyo Makonda ndio kaifanya timu ishinde?

Na juzi Simba na Vita makonda ndie aliisaidia Simba ishinde?

Makonda kafanya kipande kidogo kama alivyofanya mtu mwingine yeyote kufanya sala kuombea timu ishinde.

Usimpe sifa asizostahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bia za nusu bei ziko wapi kwanza au ndo mlitujaza ujinga??

Hiri rimjamaa siririsema ati ritafunga mitaa yote Dar iri watu wanywe BIA kwa NUSU BEI huku vrikijitapa kuwa ati 'harijawaji KUPANGA JAMBO RIKASHINDWA......''Hizi ni lugha za mijitu iliyo lewa madaraka na kibri cha uzima.......mtu yeyote mstaarabu HUMTANGULIZAMUNGU na si vinginevo.
 
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda.Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
....
... Popoma katika ubora
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom