Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Kufungwa sio kuwa mtu anakubali, ni kwamba anazidiwa. Analazimishwa kukubali. Kama kubakwa vile. Unajikuta tu imeingia hata kama hutaki. Kwa hiyo hata kama wangekuwa hawajafuzu kwa kikosi kile lazima tu wangejikuta wamekunywa tatu bila kupenda. Kama vita walivojikuta zimeingia mbili bila kupenda. Walikuja kupambana ili wafuzu lakin walijikuta mbili zimeingia
Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo DAB ndio alikuwa anacheza uwanjani sio! Au mnataka kutuaminisha kuwa bila yeye Taifa Stars wasingefuzu! Kweli hilo genge lenu lina vilaza wengi sana.
I hate CCM g*ys....! Kwao kila kitu ni siasa ili wapate ujiko wakuonesha kuwa Wapinzani si chochote......huu kwa kweli ni WENDAZIMU.....!!
 
Shida ya watu badala ya kupongeza timu ya Taifa watu wako busy na kupongeza RC na Magufuli Sasa walicheza au. Ni kama last week nimesikia msaada umetolewa na Magufuli kwa walipata mafuriko na sio serikali ya Tanzania jamani tuache ubinafsi sifa ni za wote akiwemo kocha
 
Get some sense into your empty head. Timu imeshinda kwa juhudi zake binafsi na za washangiliaji. Hata isingeundwa kamati bado tungeshinda kwa kuwa wachezaji hawakuwa na option nyingine zaidi ya kucheza kwa kujituma na kujiamini pamoja na hamasa ya Watanzania kwa ujumla wao.
Makonda anakuhusu wewe na wengine wenye mawazo ya kuazima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We ni mpuuz kabisa. Kwa hiyo huyo makonda wako alicheza namba ngapi. Hebu tuondoleeni ujinga na bashite wako.
 
Penye ukweli utabaki kuwa ukweli. Lazima aambiwe. Kinachowaponza watanzania ni kutokusema ukweli. Ni ukweli usiokuwa na shaka walifanya makosa kuweka wabongo movie kuhamasisha mpira. Taifa stars hawajashinda kwasababu ya akina Wema.
 
mtoa post acha ushamba,kawadanganye wakwenu, hiyo kamati imeundwa lini naimefanya kazi gani? baada yakuona timu inanafasi yakufuzu dokamati zakutafutia kiki naumaarufu zinaibuka.Mechi ya mwanzo kabisa na Lesotho mbona hiyo kamati haikuwepo.msilazimishe kupata sifa,sifa hailazimiswi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi mzuri kwenye michezo tu vipi kwenye uchumi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…