Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Things were obvious. Wapumbavu wanataka kuchukulia hapo points.Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Swali liko pale pale, kafunga mangapi?Makonda kahamasisha watu kushangilia stars na wachezaji wamepata nguvu na wale wa Uganda kujiona inferior. Mbona hii iko wazi? Bila makelele the crane mngewawezea wapi nyie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha hasira bi kirobotoHuo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?
In God we trust
Labda alimpigia simu David OnyangoSwali liko pale pale, kafunga mangapi?
Wewe ni kiroboto tuBikoroboto ni yule aliye kupatia kwenye mbio za mwenge
In God we trust
Tumeshawafunga Uganda mara nyingi hapo kwa Mkapa
Wao ndio waliocheza?
Wewe ni Amber Ruty
Hii Kamati ya ushindi ilikuwa wapi siku zote na sisi tukachukua kombe la dunia?Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.
Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..
Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?
Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.
Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha umama wewe,inamaana hujui kuwa makonda alikuwa mstari wa mbele kuhamasisha!! Chuki zimekujaa mpaka zinamwagika ipo siku utachukia hadi kimvuli chako.Huo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?
In God we trust
Watu wengine ni vichwa vya mbuzi kabisa. Uganda wangehitaji ushindi, tusingetoka. Kujisifu sana kwetu itakuwa kero kubwa kwao. In reality, wametuachia ili tupenye.Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Kwahiyo hilo umelijua leo?Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Wewe ni Amber Ruty
In God we trust
Kama walikuwa wa kutuachia, basi wangetuachia siku tuliocheza kwao kabla ya mzunguko huu! Hivi walitufunga mangapi kwao, vile?Watu wengine ni vichwa vya mbuzi kabisa. Uganda wangehitaji ushindi, tusingetoka. Kujisifu sana kwetu itakuwa kero kubwa kwao. In reality, wametuachia ili tupenye.