Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Waliombeza RC Makonda leo mmeumbuka

Huo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?

In God we trust
Acha hasira bi kiroboto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii Kamati ya ushindi ilikuwa wapi siku zote na sisi tukachukua kombe la dunia?
 
Kafunga goli ngapi vile?
Tff siku za nyuma walitangaza kamati wezeshi ya kuhakikisha tunashiriki michuano ya Afcon kule Misri mwaka huu,Kamati hii ya ushindi ilikuwa inaongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Baada tu ya Makonda kutangazwa tu kuongoza kamati tumeshuhudia baadhi ya wadau humu kwenye mitandao ya kijamii wakibeza hili na kuingiza mada za kisiasa ilimradi tu kumkatisha tamaa Makonda..

Wengine walienda mbali zaidi kwamba kwanini asitumie wachezaji wa zamani kama chachu ya ushindi na si kuwatumia wasanii kama alivyofanya?

Leo wale wote mliokuwa mnambeza Makonda na kamati yake mmeumbuka na hatimaye Taifa stars imefuzu michuano ya AFCON.

Mwisho Baniani mbaya kiatu chake dawa..Hongera sana RC Makonda na kamati yako kwa ushindi wa leo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuwache ujinga sisi Watanzania! Uhamasishaji wa wiki 1 ndio usababishe timu kushinda? Basi akihamasisha miezi 2 tutachukuwa World Cup! Kumpongeza Makonda ni kuwadharau walimu na timu yake ya ufundi pamoja na wachezaji!
 
Huo ndio upumbavu unao endelezwa na watu wasiyo na vision za kimaendeleo unavyo zidi kulighalimu taifa yaani hapo Makonda kafanya nini cha zaidi hadi uanze kumsifia ujinga ujinga?kafunga magoli mangapi?

In God we trust
Acha umama wewe,inamaana hujui kuwa makonda alikuwa mstari wa mbele kuhamasisha!! Chuki zimekujaa mpaka zinamwagika ipo siku utachukia hadi kimvuli chako.
 
Hivi kwa akili yenu Uganda wangekuwa hawaqualify leo wangekubali kufungwa?
Watu wengine ni vichwa vya mbuzi kabisa. Uganda wangehitaji ushindi, tusingetoka. Kujisifu sana kwetu itakuwa kero kubwa kwao. In reality, wametuachia ili tupenye.
 
Kama walikuwa wa kutuachia, basi wangetuachia siku tuliocheza kwao kabla ya mzunguko huu! Hivi walitufunga mangapi kwao, vile?
 
Back
Top Bottom