Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna Taarifa kwamba Mwenyekiti wa zamani wa Simba Swedi Nkwabi aliyemkimbia MO pamoja na Mamluki Ntahilaja anayetajwa kutoka Yanga leo wameonekana kwenye ofisi za TFF kwa kile kinachodaiwa eti kumchukulia fomu "bilionea" Karia ili aendelee kutafuna hela za TFF.
Swali ni hili: Wamelipwa nini? Kwanini Karia asichukue fomu mwenyewe, wamelenga kumdanganya nani?
Swali ni hili: Wamelipwa nini? Kwanini Karia asichukue fomu mwenyewe, wamelenga kumdanganya nani?