Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Tatizo sio uyanga na usimba, tatizo ni uccm kuingizwa kwenye mpira, ndio maana kila sehemu kumeoza hata huko yanga nako kumeoza, simba nako hivyo hivyo kote ni uozo mtupu.Wamejitetea kuwa jamaa yupo nje ya nchi kikazi.
Ila TFF ni uozo sana sijui lini itakuja kupata watu wenye weledi wasio na hulka na timu hizi mbili ya Young Africans & Simba Sc.
Hakujua kama fomu zatolewa leo? Halafu mbona hakuleta ndugu zake wamchukulie au ni kweli kwamba hana ndugu nchi hii kama wazalendo wanavyosema?Karia yuko Mwanza kikazi
Ni janja janja tu maana hata tar ya mwisho kurudisha ni tar 12 kwahiyo angerudi tu akachukua mwenyewe, hao wanaomchukulia ni kuonyeshwa anapendwa hata baadaye akishinda utaona atawachomeka kwenye Safu yake ya TFFHakujua kama fomu zatolewa leo ? halafu mbona hakuleta ndugu zake wamchukulie , au ni kweli kwamba hana ndugu nchi hii kama wazalendo wanavyosema?
aiseeee !!!Ni janja janja tu maana hata tar ya mwisho kurudisha ni tar 12 kwahiyo angerudi tu akachukua mwenyewe ,hao wanaomchukulia ni kuonyeshwa anapendwa ,..hata baadaye akishinda utaona atawachomeka kwenye Safi yake ya TFF
Huyu anagombea nafasi gani?Twende na Oscar Oscar.
Fanyeni kampeni meza ipindukeTwende na Oscar Oscar.
anautaka uraisHuyu anagombea nafasi gani?
Kwa mfumo ambao karia na wenzake wameuweka, ni ngumu mtu mwingine kupita!!kuna kanda sita kila mgombea lazima apate wadhamini watano, mmoja kutoka kila kanda, na endapo mwenzako atapata mdhamini kutoka kanda fulani , hiyo kanda haiwezi tena kumdhamini mwingine!!ina maana karia kutokana na mfumo aliouweka wa watu wake, huko atapata wadhamini nyie wengine, ni vigumu kudhaminiwa tena!!wapiga kura kupunguzwa kutoka karibu 300, hadi 80!!ili iwe rahisi kuwadhibiti.Uhuni uliofanyika kwenye chaguzi za huko mikoani ni aibu!!Fanyeni kampeni meza ipinduke
Kama aling'oka Ndolanga huyu hatushindiKwa mfumo ambao karia na wenzake wameuweka, ni ngumu mtu mwingine kupita!!kuna kanda sita kila mgombea lazima apate wadhamini watano, mmoja kutoka kila kanda, na endapo mwenzako atapata mdhamini kutoka kanda fulani , hiyo kanda haiwezi tena kumdhamini mwingine!!ina maana karia kutokana na mfumo aliouweka wa watu wake, huko atapata wadhamini nyie wengine, ni vigumu kudhaminiwa tena!!wapiga kura kupunguzwa kutoka karibu 300, hadi 80!!ili iwe rahisi kuwadhibiti.Uhuni uliofanyika kwenye chaguzi za huko mikoani ni aibu!!
Hapana , tunataka kujua walicholipwaKwani wamevunja kanuni ipi?
Yaani kwenye soka la bongo ni kama wana nchi yao(N.korea) leo wagombea urais wanazunguka mikoani kuomba udhamini wa wajumbe wanakataliwa na wajumbe hao kuwa wao tayari wanamuunga mkono karia!!kanuni haziwaruhusu kuunga mkono wagombea 2!!ndio maana kuna baadhi ya nchi zinaona huu uendeshwaji wa soka ni kama kikundi cha watu ambao hawataki walioko nje kuingia ndani, wanaamua kuingilia kati, bora FIFA, iwapige ban kwani ni uhuni!!yaani kanuni za TFF, zinakuwa juu ya katiba ya nchi?!!aiseeee !!!