Waliomchukulia fomu ya kugombea urais wa TFF Wallace Karia wamelipwa nini?

Huu uchaguzi inabidi uchunguzwe na takukuru naona unafigisu nyingi sana, na kama kweli ukichunguzwa kwa makini kuna watu kisutu itawahusu tu.
Unaambiwa akishadhaminiwa Karia basi nyie wengine hamtapata wadhamini ! sijawahi kuona
 
kwani kuna Tatizo ?
 
Karia ana nafuu mala dufu ya wagombea wenzake,

Twende na Karia.
 
Huu mchakato uchaguzi haustahili uendelee, inabidi upingwe kisheria ili marekebisho ya baadhi ya vifungu vinanavyo ashiria ubinywaji wa democrasia virekebishwe, kisha mchakato uendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…