Afadhali tukae kwenye giza rather than living with a KILLERSisi binadamu ni viumbe wa hovyo kabisa, just imagine kipindi cha JPM wanasiasa na baadhi ya Wananchi walivyokuwa wanamtukana Magufuli lakini saizi hao hao ndio wanaolalamikia ugumu wa maisha na kukatika umeme mara kwa mara.
Tulimkosea sana JPM hii dhambi itatutafuna milele.
Suluhisho ni kutubu.