Waliomuua mwalimu walimuibia Mil 9.5

Waliomuua mwalimu walimuibia Mil 9.5

Mtu yoyote anaeamini uchawi ama uganga hana akili. Mwalimu hakua na akili.

Kukosa kwake akili kumepelekea kupoteza maisha yake.

Kama hela zinaombewa ziongezeke, hao waganga kwa nini wasiende kuomba ama kuroga benki hela zimwagike tu nje watu waokote?

Mwalimu hana akili. Apumzike kwa amani.
 
Walimdanganya apeleke hizo pesa zikaombewe ili ziongezeke kishirikina. RIP mwalimu.
Mpwayu anakosea kuwadiss waalimu wote ila asilimia kuwa Reasoning capacity ya waalimu ni changamoto[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sasa kweli mwalimu unadanganywa kiboya hiviii daah.
 
Ila Kuna baadhi wanaofanikiwa kwa njia hiyo, unapeleka m Moja zinafanyiwa maarifa ya kishirikina unarudi na box lililojaa pesa. Ila masharti yatakayofuata utatamani ardhi ipasuke ujifukie.
 
Kuna mchezo hawa waganga wanaufanya, wanakwambia unaweka hela kwenye sanduku lao la uganga wanapiga sangoma kisha baada ya siku 3 hela zina double, so kama umeweka mil 10 basi baada ya siku tatu unakwenda kuchukua mil 20.

Wengi wamelizwa wakimwemo waalimu wastaafu nk.. hawa ni matapeli na wapo maeneo ya vijijini zaidi ambako elimu ya kujitambua haijafika vilivyo.

Hawa wawe mfano.
 
Back
Top Bottom