Waliomwagiwa ugali nao kumwaga Mboga, mambo mengi yatawekwa hadharani, wanaCcm kuumbuana

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
 
25D4B7A8-C814-4594-B565-3179B96010C5.jpeg
 
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
Muanze kuwaumbua akina good luck&co
 
Kwa hulka za binadamu akiona maslahi na umuhimu wake unapuuzwa kumwaga mboga ni kitu simple sana , ila ngoja tuone mda utasema muvi imefikia patamu adui na steringi wamekutana uso kwa uso ..
 
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
Itakua vyema isiishie kwenye kuyajua yale ya msiba wa kitaifa tu. Tujue misiba mingine pia ilikuaje na nini kilitokea

Misiba iliyopita kimyakimya kwa maiti za watu kuokotwa kwenye viroba. Watu waliofiwa na wapendwa wao hawakuthubutu kutoa machozi.

Baba yake Ben Saanane hakulia, mke wa Azory hakulia na wengine wengi. Lakini kutokulia kwao kunawaobgezea majonzi, simanzi na masikitiko kwa Mola wao kwa wale waliodhulumu nafsi za watoto wao, baba zao, mama zao, wake au waume zao

Acha siri zitoke. Kuna mmoja kasema mahali Taifa li asafishwa. Hakika bora lisafishwe ili ukweli ulete maridhiano yasio ya kinafiki. Maridhiano ya kweli
 
Hakuna atakayekuelewa si CCM au Upinzani.

Tumejaa unafiki wa anguko la Ndugai.

Namchukia kwa mambo mengi ila hili

ni sawa na "kumkamata aliyeua kwa makusudi akiwa anataka kujiua mkamuokoa halafu mnampeleka mahakamani ili akahukumiwe kifo"

Halafu mnashangilia haki imetendeka kwani angejiua pia si ni yale yale mnasumbua mawakili na mahakama bure
 
Kwa hulka za binadamu akiona maslahi na umuhimu wake unapuuzwa kumwaga mboga ni kitu simple sana , ila ngoja tuone mda utasema muvi imefikia patamu adui na steringi wamekutana uso kwa uso ..
Sio kwa Tz, kwani huyo Ndugai hutamsikia tena, ili kuweza kuokoa hicho alichobakia nacho, tofauti na hivyo, atapotea kabisa!!ingekuwa KENYA, ningeweza kuelewa, lakini hapa, hakuna kitu kama hicho.
 
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.

Hata mkiweka sababu za hicho kifo ndio tutazidi kufurahi, na tutawapongeza sana hao watu kwa kuliponya taifa na yule muovu. Yaani wekeni kila kitu mtakavyo ili wananchi wajue uchafu wa CCM, lakini hadi sasa tuna furaha ya ajabu kwa hawa viongozi wakatili kufariki, na huyu aliyejiuzulu sasa.
 
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.

Mungu ibariki Tanzania
 
Back
Top Bottom