Waliomwagiwa ugali nao kumwaga Mboga, mambo mengi yatawekwa hadharani, wanaCcm kuumbuana

Waliomwagiwa ugali nao kumwaga Mboga, mambo mengi yatawekwa hadharani, wanaCcm kuumbuana

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
Mleta mada kwa aya hii nimegundua kuwa unaumwa Sukuma gang disorder.

Jiwe amekufa kwa korona kwasabb ya ushamba na ushirikina wake.
 
, lakini hadi sasa tuna furaha ya ajabu kwa hawa viongozi wakatili kufariki, na huyu aliyejiuzulu sasa.
Tena jiwe kafariki kwa korona kizembe Sana, kwasabb aliendekeza ushirikina kwenye suala la korona.
 
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.

Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
Mie nasubiri mtu atupe ukweli juu ya kifo Cha kipenzi chetu Magufuli
 
Hata mkiweka sababu za hicho kifo ndio tutazidi kufurahi, na tutawapongeza sana hao watu kwa kuliponya taifa na yule muovu. Yaani wekeni kila kitu mtakavyo ili wananchi wajue uchafu wa CCM, lakini hadi sasa tuna furaha ya ajabu kwa hawa viongozi wakatili kufariki, na huyu aliyejiuzulu sasa.
Jizi ww
 
Back
Top Bottom