Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Sasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.
Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
Muanze kuwaumbua akina good luck&coSasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.
Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
hiii picha ilipigwa siku anaagwa kijazi sasa sijui alikuwa anawaza nini au alikuwa tyari amenusa harufu ya kufa na yeye ama laaa?
Itakua vyema isiishie kwenye kuyajua yale ya msiba wa kitaifa tu. Tujue misiba mingine pia ilikuaje na nini kilitokeaSasa watanzania wanaenda kufahamu mambo mengi. Kuna tetesi kuwa kuna siri nyingi sana kuwa ufisadi mwingi unafanyika ila wanaCcm wanalinda chama chao kwa kuficha huu uovu, sasa inakwenda kuwekwa wazi.
Zipo tetesi kuwa hata yaliyosababisha taifa likapata msiba mkubwa yatawekwa hadharani na ukweli utajulikana.
Bado kasheeemUnatapatapa.. timu yenu inazidi kubomoka ...mama hakati matawi.. anango'a mzizi mkuu tu!!
Sio kwa Tz, kwani huyo Ndugai hutamsikia tena, ili kuweza kuokoa hicho alichobakia nacho, tofauti na hivyo, atapotea kabisa!!ingekuwa KENYA, ningeweza kuelewa, lakini hapa, hakuna kitu kama hicho.Kwa hulka za binadamu akiona maslahi na umuhimu wake unapuuzwa kumwaga mboga ni kitu simple sana , ila ngoja tuone mda utasema muvi imefikia patamu adui na steringi wamekutana uso kwa uso ..