nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Vipi kuhusu Manara wakati anasajiliwa kama mchezaji namba Moja huko utopoloni , alifanyiwa scourtingi? Tuanzie hapo kwanza.Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?
Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo kulala uwanjani, kupiga kiti teke na kurusha chupa ya maji ndio nini?Alichofanya pablo ni sahihi kabisa. Kama ingekuwa ni kosa lazima angewajibishwa.
Makocha wasaidizi walifanya uzembe wa hali ya juu sana. Kocha alikuwa kageukia uwanjani wao hawakuona kuwa officials walikuwa wakikosea. Wakati mwingine nahisi kima Matola wanafanyia makocha wa kigeni hujuma za wazi.
Kuonyesha hisia zake siyo dhambi mwamuzi alizingua tena kosa hilo hilo analirudia mara mbili.Kwahiyo kulala uwanjani, kupiga kiti teke na kurusha chupa ya maji ndio nini?
Makocha wa Ulaya akina Guardiola, Morinho, Nk wakifanya hivyo hushangai ila kwa Pablo unaleta nongwaKwahiyo kulala uwanjani, kupiga kiti teke na kurusha chupa ya maji ndio nini?
Kocha alikuwa sahihi sanaKuonyesha hisia zake siyo dhambi mwamuzi alizingua tena kosa hilo hilo analirudia mara mbili.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mtafute umpige makonde mkuu . Maana kakuchukiza kuona hajapoteza mechi hata Moja tangu atue msimbaziKitendo alichofanya Kocha wa Simba hakikubaliki katika jamii iliyostarabika.
Ajirekebishe.
Una uhakika gani kuwa siwashangai kwa kuwaona wana matatizo? Yaani umeandika utafikiri unanifahamuMakocha wa Ulaya akina Guardiola, Morinho, Nk wakifanya hivyo hushangai ila kwa Pablo unaleta nongwa
CV ya kocha toka Madrid ilitosha kuwazodoa Yanga hayo mengine hawajali ila akijafungwa utakujasikia nyongo zao mwafrika sio wa kumwamini hata siku moja.Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?
Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Kupiga makonde sio suluhisho la kurekebisha tabia ya mtu.Mtafute umpige makonde mkuu . Maana kakuchukiza kuona hajapoteza mechi hata Moja tangu atue msimbazi
Ni muhuni kama walivyo wahuniKitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?
Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ni lini mou na Simeone walimsukuma mchezaji aluyekua anaingiza subKwa kocha unahitaji matokeo kama kigezo ni nidhamu mournho au simeone wasingekuwa na timu.Halafu nyie upotolo mbona mnawashwa sana na mambo ya ndani ya simba
We ni mbumbumbu wa mpira. Kwa mtu serious na kazi yake si ajabu kureact vile. Refer Fergusson na Beckam, Mancin na Balotelli, Mourinho, Antonio Conte na hata Zidane.Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?
Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
sisi simba tumeridhika naye akiondoka itakuwa sababu nyingine sio nidhamuNi lini mou na Simeone walimsukuma mchezaji aluyekua anaingiza sub
Mou huwa ana kauli chafu na ni mropokaji hio ndo changamoto