Waliomwajiri kocha simba walianza kumfanyia scourting au walimwaji kukumbizana na yanga ?

Alichofanya pablo ni sahihi kabisa. Kama ingekuwa ni kosa lazima angewajibishwa.
Makocha wasaidizi walifanya uzembe wa hali ya juu sana. Kocha alikuwa kageukia uwanjani wao hawakuona kuwa officials walikuwa wakikosea. Wakati mwingine nahisi kima Matola wanafanyia makocha wa kigeni hujuma za wazi.
 
Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?

Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Vipi kuhusu Manara wakati anasajiliwa kama mchezaji namba Moja huko utopoloni , alifanyiwa scourtingi? Tuanzie hapo kwanza.
 
Alichofanya pablo ni sahihi kabisa. Kama ingekuwa ni kosa lazima angewajibishwa.
Makocha wasaidizi walifanya uzembe wa hali ya juu sana. Kocha alikuwa kageukia uwanjani wao hawakuona kuwa officials walikuwa wakikosea. Wakati mwingine nahisi kima Matola wanafanyia makocha wa kigeni hujuma za wazi.
Kwahiyo kulala uwanjani, kupiga kiti teke na kurusha chupa ya maji ndio nini?
 
Mimi ndo ningekua Pablo ningempiga ngumi uyo refa aliyebania nafasi za sub kwa Simba.
 
Makocha wa Ulaya akina Guardiola, Morinho, Nk wakifanya hivyo hushangai ila kwa Pablo unaleta nongwa
Una uhakika gani kuwa siwashangai kwa kuwaona wana matatizo? Yaani umeandika utafikiri unanifahamu
 
Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?

Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
CV ya kocha toka Madrid ilitosha kuwazodoa Yanga hayo mengine hawajali ila akijafungwa utakujasikia nyongo zao mwafrika sio wa kumwamini hata siku moja.
 
Mtafute umpige makonde mkuu . Maana kakuchukiza kuona hajapoteza mechi hata Moja tangu atue msimbazi
Kupiga makonde sio suluhisho la kurekebisha tabia ya mtu.
Ni vizuri kutumia maneno ya busara kumwonya mtu anapokosea.
Kupiga mateke chupa za maji na viti sio suluhisho sahihi la kuelekeza makosa ya mtu.
 
Kwa kocha unahitaji matokeo kama kigezo ni nidhamu mournho au simeone wasingekuwa na timu.Halafu nyie upotolo mbona mnawashwa sana na mambo ya ndani ya simba
Ni lini mou na Simeone walimsukuma mchezaji aluyekua anaingiza sub
Mou huwa ana kauli chafu na ni mropokaji hio ndo changamoto
 
Kitendo alichofanya Jana kocha wa simba kinatengeneza maswali mengi.
Moja muhimu,je walimfanyia scourging ili kujua uwezo wake na nidhamu yake?

Kitendo alichofanya kocha huyu inaonesha hana nidhamu hata chembe

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
We ni mbumbumbu wa mpira. Kwa mtu serious na kazi yake si ajabu kureact vile. Refer Fergusson na Beckam, Mancin na Balotelli, Mourinho, Antonio Conte na hata Zidane.
 
Back
Top Bottom