Waliomwajiri kocha simba walianza kumfanyia scourting au walimwaji kukumbizana na yanga ?

'scourging' ni kitu gani kwanza? Inabidi tuanze na lugha maana wajuaji mmekuwa wengi sana siku hizi kwenye mchezo wa soka
Huyu jamaa atakuwa mganga huyu akili za kushikiwa na mizimu.
 
Kuna watu sijui hamuelewi, au mnalazimisha ni lazima muandike status
 
Kitendo alichofanya Kocha wa Simba hakikubaliki katika jamii iliyostarabika.
Ajirekebishe.
Iliyostaarabika ila haina maendeleo ya soka.

Bora kuwa na kocha kichaa dizaini ya Pablo,Mourinho,Diego Simeon, Diego Maradona,nk katika nchi zenye maendeleo ya soka kama huko waliko kuliko huku kwenye tu-nchi shithole (kama Tz) twenye mashabiki wanaojifanya wamestaarabika.
 
Kupiga makonde sio suluhisho la kurekebisha tabia ya mtu.
Ni vizuri kutumia maneno ya busara kumwonya mtu anapokosea.
Kupiga mateke chupa za maji na viti sio suluhisho sahihi la kuelekeza makosa ya mtu.
Kumshauri refa akiw uwanjani ni kadi nyekundu , wanaamin refa hakosei usisahau , solution ni kuonesha jinsi tikio lilivyokukera ili siku nyingine ajue vitasa vitamuhusu refa [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…