mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana Jf
Ukisikia watu jeuri ni hawa vijana wajasiliamali Aka Machinga tegeta, ambao rahis wa awamu ya tano aliwahi kusimama dakika kumi na tano kuomba kura kwa kurudia Rudia akimwombea Gwajiboy jimbo la kinondoni. Wakiwa na huruka ule ule, Mama akiwa njiani kwenda kunadi sera ya utalii nchini, alipita tegeta kuwasalimia pia na kuwasii wapokee chanjo akiwa ameongozana na Gwaji boy kama kwamba vijana hawa walipeana taarifa, aliwanbia "Mtachanja" wao hatuchangii, akarudia tena wakajibu "hatuchangii" jambo lililomshutua, na kubaki akitabasamu baadae akaondoka.
Vijana hawa waliambiwa na serikali kuondoka vituoni na pembezoni mwa njia kuu ya barabara, wengine wameondoka wengi wao wamegoma, masai wao ndio kabisaa wanapanga vitu barabarani na stands, usiku ni kama kawa wanarejea kama wote, wanajazana mno kama zamani. Tofauti ni kuwa angalau wameacha kijinafasi cha watu Kupita.