Waliomwambia Rais "Hatuchangiii" wagoma kuondoka Tegeta kwa Ndevu

Waliomwambia Rais "Hatuchangiii" wagoma kuondoka Tegeta kwa Ndevu

Washughulikiwe ni zamu yao. Wao walikuwa kimya wakati wafanya biashara na wanasiasa wakishughulikiwa.

Ni zamu yao.
Wapo wamerejea upya posta. Hii saa 11

20211118_173232.jpg


20211118_172555.jpg
 
Hatimaye baada ya uzi huu wameamua kuondoka nimetupia kapicha ka kuonyesha kupo kweupe
 
tegeta ni sehemu pekee katika jiji la dar imepewa hadhi ya kuitwa town, tembea jiji zima angalia vile vibao vya tanroad kwa mfano kimara,mbagala, gogolamboto na maeneo mengine wanaandika tu jina la eneo mfano kimara au magomeni ila ukifika tegeta kibao kimeandikwa tegeta town hii inamaana tegeta ni mji unaojitegemea ndani ya dar
 
Back
Top Bottom