Waliomwambia Rais "Hatuchangiii" wagoma kuondoka Tegeta kwa Ndevu

Hatimaye baada ya uzi huu wameamua kuondoka nimetupia kapicha ka kuonyesha kupo kweupe
 
tegeta ni sehemu pekee katika jiji la dar imepewa hadhi ya kuitwa town, tembea jiji zima angalia vile vibao vya tanroad kwa mfano kimara,mbagala, gogolamboto na maeneo mengine wanaandika tu jina la eneo mfano kimara au magomeni ila ukifika tegeta kibao kimeandikwa tegeta town hii inamaana tegeta ni mji unaojitegemea ndani ya dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…