Afande Nyati
JF-Expert Member
- Nov 10, 2012
- 2,385
- 1,414
Duuu, imejaa ukakasi hiyo orodha yako.
Mbona sijajiona mkuuNaweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi.
10. Sport's lady @everlink
9. @lizabon
8. @faizafox
7. @Watu8
6. @Nguruvi3
5. @Wacha1
4. @Kichuguu
3. @KikulachoChako
2. @Chief-Mkwawa
1. Huyu namwita mtaalamu wa ghaibu @mshanajr.
mi sijakuvutia kweliNaweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi.
10. Sport's lady @everlink
9. @lizabon
8. @faizafox
7. @Watu8
6. @Nguruvi3
5. @Wacha1
4. @Kichuguu
3. @KikulachoChako
2. @Chief-Mkwawa
1. Huyu namwita mtaalamu wa ghaibu @mshanajr.
waliokuchukiza je ?
mi sijakuvutia kweli
hukumvutia vya kutoshaMbona sijajiona mkuu
Nitajitahidi mwaka huu mpyahukumvutia vya kutosha
Inategemea ni jukwa lipi mkuu...
Kama ni huko kwenye siasa sawa...au mambo ya giza(mshana)...
Kwa tusiotia mguu huko lazima tupate wasiwasi na list
Sio yote mkuu....Hahahaaa mbona hapo kuna manguli wa majukwaa tofauti tofauti. Kuna nguli wa sports, kuna nguli wa jukwaa la great thinkers, mambo ya ghaibu (Mshana jr), kuna nguli wa science hapo kama mkwawa, kikulacho na watu8. Ila wengi wako kote kote mfano #Mshanajr utamkuta tena katika photograph kule.