gnassingbe
JF-Expert Member
- Jun 14, 2015
- 4,826
- 3,577
Umeona eeeeh!hapo kwenye nane na tisa.Duuu, imejaa ukakasi hiyo orodha yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeona eeeeh!hapo kwenye nane na tisa.Duuu, imejaa ukakasi hiyo orodha yako.
Waaahaooo!!! Asante sana @Shefwaa, am humbled! !Naweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi.
10. Sport's lady @everlink
9. @lizabon
8. @faizafox
7. @Watu8
6. @Nguruvi3
5. @Wacha1
4. @Kichuguu
3. @KikulachoChako
2. @Chief-Mkwawa
1. Huyu namwita mtaalamu wa ghaibu @mshanajr.
Salute @Chief-Mkwawa. Wengine hushindwa kuficha mahaba ktk 'vitengo' vyao! Huyu jamaa ktk jukwaa la tech ni nux!Naweza sema kuna great thinkers wengi sana humu wenye vitu adimu na hoja zenye mashiko, wako wengi kwa kweli walionivutia mwaka huu tunaoumaliza 2015, lakini hawa ni 10 kati ya hao wengi.
10. Sport's lady @everlink
9. @lizabon
8. @faizafox
7. @Watu8
6. @Nguruvi3
5. @Wacha1
4. @Kichuguu
3. @KikulachoChako
2. @Chief-Mkwawa
1. Huyu namwita mtaalamu wa ghaibu @mshanajr.
Weka yako tuione, @TeamLowassa ndo uozo mtupu!Unavutiwaje na posts za @FaizaFoxy na @Lizaboni? Labda akili zako zimefyatuka
mwenyewe naona mtoa post ni bonge la kilazaUnavutiwaje na posts za @FaizaFoxy na @Lizaboni? Labda akili zako zimefyatuka
Unavutiwaje na posts za @FaizaFoxy na @Lizaboni? Labda akili zako zimefyatuka
mwenyewe naona mtoa post ni bonge la kilaza
nope mimi sifunguagi uzi walioanzisha wao hata siku moja, ila naona comment zao kwenye uzi za watu wengine, zimekaa kishabiki, na zinakua na lugha isiyo ya kistaarabu, yaani ni watu fulani ambao hawa reason kabisa...samahani kama nimeudhi mtuKama hazina maana mngekuwa mnazipita hizo posts, ila kila mkiziona huwa mnawashwa kuzifungua.
Naamini mnazikubali kiaina.