Walionivutia JF 2015, Hii ni 10 bora yangu.

1.Pasco
2.Chige
3.OLESAIDIMU.
4.Matumbo.
5.Gentamcyne
6.Lizaboni
7.Sembo
8.Muuza sura
9.The Boss
10.Faizafoxy.
11.Laki si pesa.
12.Mmawia
 
Yaani hata mimi nimekosekana hapo ...daah duniani hamna haki
 
Salute @Chief-Mkwawa. Wengine hushindwa kuficha mahaba ktk 'vitengo' vyao! Huyu jamaa ktk jukwaa la tech ni nux!
 
Malcom lumumba,Evelyn salt,miss chaga, Mo 11, nyani ngabu,emporer,kingkong na wengine wengi.
 
Kama hazina maana mngekuwa mnazipita hizo posts, ila kila mkiziona huwa mnawashwa kuzifungua.

Naamini mnazikubali kiaina.
nope mimi sifunguagi uzi walioanzisha wao hata siku moja, ila naona comment zao kwenye uzi za watu wengine, zimekaa kishabiki, na zinakua na lugha isiyo ya kistaarabu, yaani ni watu fulani ambao hawa reason kabisa...samahani kama nimeudhi mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…