Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Dec 8, 2021 #201 jerrybanks said: uncle wangu alioaga mmasai aisee alikuwa akinunua nyama hata kilo 5 basi siku hyo hyo lazma iishe kuhusu maziwa alikuwa anataka daily Click to expand... Mhhhh!!!, Hiyo noma,Kaa kwa usawa huu
jerrybanks said: uncle wangu alioaga mmasai aisee alikuwa akinunua nyama hata kilo 5 basi siku hyo hyo lazma iishe kuhusu maziwa alikuwa anataka daily Click to expand... Mhhhh!!!, Hiyo noma,Kaa kwa usawa huu
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,355 Reaction score 14,408 Dec 8, 2021 #202 britanicca said: Umewasingizia Mke wangu ni Mmasai, Kitandani yupo vizuri tu Ana akili nzuri na watoto wetu wako very bright Ni msafi sijawai ona wanayosema uchafu wao Hajakeketwa nikimgusa kunako anakunakokika vema tu She Is so Beautiful Click to expand... Nipe Namba yake nimpigie nimpe Hongera zake.Maana huyo ni Shemeji yetu Wana JF.
britanicca said: Umewasingizia Mke wangu ni Mmasai, Kitandani yupo vizuri tu Ana akili nzuri na watoto wetu wako very bright Ni msafi sijawai ona wanayosema uchafu wao Hajakeketwa nikimgusa kunako anakunakokika vema tu She Is so Beautiful Click to expand... Nipe Namba yake nimpigie nimpe Hongera zake.Maana huyo ni Shemeji yetu Wana JF.
Last emperor JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 10,351 Reaction score 9,855 Dec 9, 2021 #203 Samweli Mathayo said: Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa Click to expand... Halaf wewe unaoa mmasai au muarusha? Maana waarusha wengi huwa wanajifanya ni Masai
Samweli Mathayo said: Nataka kuoa mmasai naomba kujuzwa mambo kadhaa wawapo ndani ya ndoa Click to expand... Halaf wewe unaoa mmasai au muarusha? Maana waarusha wengi huwa wanajifanya ni Masai