Kapyepye Mfyambuzi
JF-Expert Member
- Jun 18, 2020
- 542
- 921
Wakuu naomba kufahamu, hivi lengo kuu hasa la kuwakeketa ilikuwa ni nini?...nimeoa mmasai tangu 2012...ni wanawake bora kupata kutoka.
...mke wangu ni mzuri sana wa umbo,sura na tabia.-..hajakeketwa coz ni masai wa mjini.