BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Mwanaume aliyeoa nguo zake zikivaliwa mara moja tu, zinafuliwa. Yani akivaa leo akifika inatupiwa kwenye japu tayari kwa kufuliwa.
Mnafahamu wetu kutokana na uwezo tunanunua cardet au jinsi za bei chee ambazo ni rahisi sana kupauka. Sasa nguo ambayo inavaliwa mara moja na kufuliwa unafikiri itakuaje? Ndiomana ukiwaona utawahurumia, nguo zimepauka kinoma.
Ambao hatujaoa, nguo uvaa atleast mwezi mmoja ndio unaifua. Unafikiri itaupauka lini.? Kuna kipindi niliwahi kuwa na jinsi toka nimenunua mpaka inachakaa sikuwahi kufua. Nilikuwa nafuta tu vumbi.
Mliooa punguzeni kuvaa nguo zilizopauka. Jiwe gizani, akilia ujua limempata.
Sent using Jamii Forums mobile app