Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Nyoosha maelezo..sema huna uwezo wa kuoa🤔
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe subiri uolewe uwe unamfulia mmeo nguo kila akivua na magauni yako sijui utaendelea kuvaa wikiMwanaume aliyeoa nguo zake zikivaliwa mara moja tu, zinafuliwa. Yani akivaa leo akifika inatupiwa kwenye japu tayari kwa kufuliwa.
Mnafahamu wetu kutokana na uwezo tunanunua cardet au jinsi za bei chee ambazo ni rahisi sana kupauka. Sasa nguo ambayo inavaliwa mara moja na kufuliwa unafikiri itakuaje? Ndiomana ukiwaona utawahurumia, nguo zimepauka kinoma.
Ambao hatujaoa, nguo uvaa atleast mwezi mmoja ndio unaifua. Unafikiri itaupauka lini.? Kuna kipindi niliwahi kuwa na jinsi toka nimenunua mpaka inachakaa sikuwahi kufua. Nilikuwa nafuta tu vumbi.
Mliooa punguzeni kuvaa nguo zilizopauka. Jiwe gizani, akilia ujua limempata.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawe subiri uolewe uwe unamfulia mmeo nguo kila akivua na magauni yako sijui utaendelea kuvaa wiki
Sent using Jamii Forums mobile app
siyo mwezi, ni tangu amenunua hadi limechakaa yaan kuisha hakuwahi kulifua.Eti unafuta vumbi tuu mwezi mzima,.hahah punguza uchafu na ww khaa!!!