Waliookolewa Chile

Waliookolewa Chile

funzadume

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2010
Posts
13,624
Reaction score
21,362
Chilean Miner Rescue

time since start of rescue: 08:14:08

underground:
25

rescued 8

Hivi hawa jamaa wakikutana na wake zao leo watakuwa na nguvu za kuchinja kobe?
 
Kukutana vipi? Kama kingono hawaruhusiwi, maana kwa mujibu wa matangazo ya Sky News, jamaa watakuwa hospitali kwa muda wa kama siku mbili!
 
Ninachojiuliza mimi ni kuwa: huyo wa mwisho atatokaje? Maana hilo dubwasha (paramedic) nilivyoangalia tangu asubuhi lilikuwa linafungwa kwa nje kwa kusaidiwa na mtu aliyeko nje yake!
 
duh umeona mbali sana ha ha ha
 
Na huko chini walikuwa wanakula tu, wana miguvi ile mbaya.
Lazima leo wamimine vikombe saba vya mbegu
au akipiga bao lazima nyumba ya pili wasikie huo mlio atakaotoa
 
Ninachojiuliza mimi ni kuwa: huyo wa mwisho atatokaje? Maana hilo dubwasha (paramedic) nilivyoangalia tangu asubuhi lilikuwa linafungwa kwa nje kwa kusaidiwa na mtu aliyeko nje yake!

Akibaki mmoja dude litashuka na wa pili kwa ajili ya kufungua akishaingia wa mwisho, halafu shughuli itaendela mpaka majaaaliwa.(Joke)
I hope watakuwa wamejiandaa kwa hilo manake hapa walikofika ni pakubwa sana. Nawapa hongera sana.
 
du umenichekesha sana ndugu
 
Akibaki mmoja dude litashuka na wa pili kwa ajili ya kufungua akishaingia wa mwisho, halafu shughuli itaendela mpaka majaaaliwa.(Joke)
I hope watakuwa wamejiandaa kwa hilo manake hapa walikofika ni pakubwa sana. Nawapa hongera sana.

Bwahaa haa aaa haa haaha ahahahahahhhah! Duh! Yaani hapa nilipo mbavu zooote zinaniuma!
 
Back
Top Bottom