Yapo kwa chini kijana
Majina yamesha toka tembelea Catholic University of Health and Allied Sciences - CUHAS
Wakati natoa post hamkuelewa nilimaanisha wa post graduate tatizo watu wanawaza undergraduate tu hili si jukwaa la form 6 leavers pekee.
So hata hujui kuandoka kichwa cha thread..! Huo ungo umepotea ila sio mbaya jpange.Wakati natoa post hamkuelewa nilimaanisha wa post graduate tatizo watu wanawaza undergraduate tu hili si jukwaa la form 6 leavers pekee.
sasa hayo ya postgraduate mbona karibu yana mwezi xaxa,hahahaaaaa!Wakati natoa post hamkuelewa nilimaanisha wa post graduate tatizo watu wanawaza undergraduate tu hili si jukwaa la form 6 leavers pekee.