Walioomba bugando for 2013/14

Walioomba bugando for 2013/14

[h=2]Admissions Announcement Applicants for the Academic Year 2013/2014[/h]​

"The new CUHAS applicants for the Academic Year 2013/2014 .....Not yet Uploaded.... " Hivi ndivyo sehemu ya New selected students inavyoonekana katika tovuti yao Bugando Catholic University of Health and Allied Sciences - CUHAS.

Sasa hayo majina mwenzetu uliyaona wapi. Utani si mzuri hapa kaka!!!
 
ushapotea dogo 2lia kwanza af ndo uchukue ha2a
hayo majina ya mastaz.
 
Wakati natoa post hamkuelewa nilimaanisha wa post graduate tatizo watu wanawaza undergraduate tu hili si jukwaa la form 6 leavers pekee.
 
Wakati natoa post hamkuelewa nilimaanisha wa post graduate tatizo watu wanawaza undergraduate tu hili si jukwaa la form 6 leavers pekee.
So hata hujui kuandoka kichwa cha thread..! Huo ungo umepotea ila sio mbaya jpange.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Wakati natoa post hamkuelewa nilimaanisha wa post graduate tatizo watu wanawaza undergraduate tu hili si jukwaa la form 6 leavers pekee.
sasa hayo ya postgraduate mbona karibu yana mwezi xaxa,hahahaaaaa!
 
Back
Top Bottom