Walioomba University of Bagamoyo (UB)

Walioomba University of Bagamoyo (UB)

we ungeandika selections zimetoka.....haya mliochagua bagamoyo safari njema!
 
Vyuo vinazidii kutoaa majinaa! Soon kitaelewekaa tcu
 
mm nilitaman kupiga hapo course ya mathematics and statistics but ada ilinishinda..3M..hata ukipata 100% utalipia si chn ya M moja na nusu
 
nooma sana flyn ryder vyuo vya private inabidi vidhibitiwe ada zao

Kweli wng..wanafanya biashara hawa watu..yaani hata ukipata mkopo ile unayoongezea basi unasoma vizuri katika vyuo vya public..kuna hicho UOB,st jesoph na na chuo flan hv cha wild life kinaitwa mweka..na vyengine ving vya private vinatuumiza ada
 
Last edited by a moderator:

me nimechaguliwa jordan napo majanga tu
tution fess 1,000,000
exam fess 200,000
michango 350,000

noma sana flyn ryder
 
Last edited by a moderator:
Private kwa kweli siyo kuzuri kwa familia zetu
 
mm nilitaman kupiga hapo course ya mathematics and statistics but ada ilinishinda..3m..hata ukipata 100% utalipia si chn ya m moja na nusu

hivi jamani ni chuo gani kinachotoa diploma ya mathematics na stastistics????
 
Hivi jamani ni chuo gani kinachotoa diploma ya mathematics na stastistics????
 
Back
Top Bottom